Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eti anapendwa kama kiba tz,mie nilijua mond ndo kipenzi cha watz[emoji23][emoji23]
Hahah! sio kweli aisee Mond watu wanapenda life style yake mitandaoni na vituko vyake nje ya music lakini real love inaanguka kwa Kiba

Fatilia shows ambazo walishakutana jukwaa moja angalia love ilikimbilia wapi pia fatilia kwenye tuzo ambapo walijikuta katika categori moja uone love ilikimbilia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…