Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya tetesi za miezi kadhaa sasa imethibitika kuwa ni kweli waimbaji Childish Gambino na mwanadada Rhianna wamefanya filamu pamoja. Baada ya filamu hiyo inayokwenda kwa jina la 'Guava Island' kuoneswa trailer yake wikiend iliyopita katika tamasha la PHAROS nchini New Zealand ndipo ilipothibitika rasmi uwepo wa filamu hiyo. Filamu hiyo inayotarajiwa kutoka mwakani imetayariswa na kampuni ya Childish Gambino Film na kuongozwa na muongozaji mkuu wa video ya #ThisisAmerica , Hiro Murai.
 
MIMI: dalali mi nataka nyumba yenye vyoo vitatu.. . DALALI: hii vipi dada?
45409874_2193575604264145_6499327111742864088_n.jpg
 
This is the only time Sir Alex looked happy during a game and smiled. Jose did something good that made Sir Alex happy. What I enjoyed most was....Jose breaking the energy drinks and Sir Alex being joyful with the injury time winning goal from a player not many fans want at the club. Go Man Utd go. Win or Lose...always a Utd Fan.
 
Back
Top Bottom