Wabarikiwe sana AminaShout Out Kwa Wale Ladies Ambao Tukitoka Nao Out Wanatupa Hela Kwa Chini Ya Meza Au Wanaiweka Mfukoni Ili Uweze KuClear Bills Pindi Tunapokuwa Tumefulia Ili Na Sisi Tuendelee Kujiona Vidume. Mungu Awabariki Sana. 🙂
duh! wewe..BREAKING NEWS: habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa kijana mmoja amejeruhiwa vibaya sana mara baada ya kujaribu kupambana na hali yake. 😁😁😁
Amen!Wabarikiwe sana Amina
Na wewe pia ndugu yanguMzima wa afya, namshukuru Mungu.
Uwe na siku njema.
Kazi kweli kweliCaptured somewhere!View attachment 949111