Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,645
- 7,174
ahsante mkuumliotoka kazini poleni sana
SaafiDarajani ZanzibarView attachment 949310
Huu uzi utaisha lini wakuu mara ya mwisho kutia comment yangu ilikuwa mwaka jana hadi sasa upo tu!?
VPN - Virtual Private Network.
Ni teknolojia inayotumika kuunganisha mitandao iliyopo mbali kana kwamba ipo sehemu moja.Mfano:Ukiwa na ofisi Dar na tawi lingine likiwa Mwanza, kwa kutumia VPN unaweza kuziunganisha(kimtandao) ofisi zako zikawa kana kwamba zipo sehemu moja i.e ukaprint document ukiwa ofisi ya Dar(Computer yako ikiwa Dar) na karatasi ikatoka kwenye printer iliyopo ofisi za Mwanza n.k.Bila VPN hili haliwezi kufanyika(labda ujilipue na public IPs ...).
Teknolojia hii ya VPN ina matumizi mengine mengi ila inafanya kazi hivyo hivyo.Kama mkuu alivyogusia hapo juu, unaweza ukazichukulia hii mikoa miwili(ofisi mbili, Dar na Mwanza) kama nchi.Mfano ikitokea kuna website au app iliyofungiwa hapa nchini, kinachozuiwa mara nyingi ni utambulisho wa hiyo website (i.e IP address).Hizi IP address huwa zinasajiliwa/kusambazwa kwa nchi, kila nchi ina range yake.Hivyo kama website imefungiwa hapa nchini, inabidi utafute VPN yenye uraia/utambulisho wa nchi nyingine ili uweze kuifungua hiyo website i.e unaifungua hiyo website kana kwamba upo nchi nyingine kumbe upo TZ.
[emoji106][emoji106][emoji106]VPN - Virtual Private Network.