Kuna mambo ni magumu sana.Ilifika hatua pombe zikawa hazifui dafu ikawa zamu sasa ya madawa ya kulevya, ikafika hatua haimbi tena amekuwa teja na ndiyo hali Rose Muhando aliyonayo sasa.
Martha Mwaipaja anaeleza kuwa Rose Muhando alipoamua kujinasua kwa meneja wake huyo alipata vitisho vikali kutoka kwa Nathan na Msama wa msama promotion waliomtisha kuwa kama ataachana na huyo meneja atapoteana kimuziki.
Martha Mwaipaja anasema tumuombee Rose Muhando badala ya kumhukumu. Waimbaji wa nyimbo za injili wamechukua nafasi ya shetani, shetani ndiye alikuwa kiongozi wa sifa kabla ya kutupwa kuzimu. Hivyo shetani anawawinda sana kwani wamechukua nafasi yake.
DSM sio salama kama wanavyosema.Mungu ajalie watoto wapatikane wakiwa salama.Mama mdogo wa Ngunda, Siri Nongwa aliliambia Mwananchi kuwa bado mtoto huyo hajaonekana tangu alipochukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwa mtu aliyemtaja kwa jina la Mama Rose, anayeishi mtaa wa Ubungo Mbagala Charambe.
Siri alisema ingawa suala hilo bado linafanyiwa uchunguzi na polisi, familia ipo katika mkakati wa kuomba kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuomba kusaidiwa kumpata mtoto huyo.
Salama ndugu, mambo vipi?Habari zenu ndugu zangu
aisee..Ilifika hatua pombe zikawa hazifui dafu ikawa zamu sasa ya madawa ya kulevya, ikafika hatua haimbi tena amekuwa teja na ndiyo hali Rose Muhando aliyonayo sasa.
Martha Mwaipaja anaeleza kuwa Rose Muhando alipoamua kujinasua kwa meneja wake huyo alipata vitisho vikali kutoka kwa Nathan na Msama wa msama promotion waliomtisha kuwa kama ataachana na huyo meneja atapoteana kimuziki.
Martha Mwaipaja anasema tumuombee Rose Muhando badala ya kumhukumu. Waimbaji wa nyimbo za injili wamechukua nafasi ya shetani, shetani ndiye alikuwa kiongozi wa sifa kabla ya kutupwa kuzimu. Hivyo shetani anawawinda sana kwani wamechukua nafasi yake.
duh!!Rose Muhando alichanyikiwa na akajikuta amerudi tena na kuangukia kwenye penzi la meneja wake Nathan ambaye ni mme wa mtu.
Martha anasema Rose Muhando alitumikishwa kwa show zisizokoma na ilifika hatua anachoka anaishiwa nguvu anaanguka jukwaani anatolea mfano alivyoanguka madhabahuni kwa Rwakatale. Martha Mwaipaja anasema Rose Muhando alikuwa si mtu wa furaha muda mwingi alikuwa akilia awapo peke yake. Martha Mwaipaja anasema Rose Muhando alimwambia kwa uchungu kuwa anafanya kazi ngumu lakini anawafanyia watu wengine.
Ili kuondoa uchovu na stress kutokana na wingi wa matamasha ambayo Nathan alikuwa ameshakula pesa, Nathan alimlazimisha Rose kunywa vilevi ili akaperform bila kuchoka haraka, Martha Mwaipaja anasema alishuhudia hili kwa macho yake kwenye show ya mwanza.
mzee baba..Selous Game reserve Liwale, LindiView attachment 947825