Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP) imeshindwa kuzuia madai ya mwandishi wa habari wa Citizen TV, Jacque Maribe ya kutaka apewe ruhusu ya kuingia kwenye nyumba yake na kutumia gari lake.

Mwandishi huyo ambaye anakabiliwa na kesi ya kumuua mpenzi wake, ameruhusiwa kuingia kwenye nyumba yake iliyoko Lang'ata kuanzia Jumanne baada ya kumshtaki DPP na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kwa kutotii maelekezo ya Mahakama.
 
Maribe, kupitia kwa mwanasheria wake, Katwa Kigen aliwakosoa DPP na DCI kwa kushindwa kumpatia simu yakeyenye laini za simu na kadi za kumbukumbu.

Mwandishi huyo alidai analazimika kutumia dawa na kwamba hata simu anaazima.

Akijibu hoja hiyo, mwendesha mashtaka, Catherine Mwaniki alisema simu yake ni kielelezo muhimu katika kesi inayomkabili na kwamba atapewa mara tu itakapokuwa imepokewa kortini.
 
Tunasubiri ripoti kutoka kwa mkemia mkuu wa Serikali ambayo bado haijawa tayari ili waone kama wamruhusu au ibaki kuwa kielelezo mahakamani,” alisema mwendesha mashtaka juu ya gari lake.

Mwandishi huyo pia alimtaka mwendesha mashtaka kiongozi aondolewe kusimamia kesi hiyo kutokana na kushindwa kwake kuupatia upande wa utetezi nyaraka kabla ya siku ya usikilizwaji kesi.
 
Wajibu hoja, hasa mwakilishi kiongozi wa mlalamikiwa wa pili (DPP), Catherine Mwaniki na mlalamikiwa wa tatu (DCI) mpelelezi mwandamizi, Maxwell Otieno walikuwapo mahakama ilipotoa uamuzi.
 
Hatimaye mshtakiwa Rutyfiya Abubakary 'Amber Ruty' na Said Bakary Mtopali wamerejea uraiani baada ya kupata dhamana leo Jumanne Novemba 27, 2018.

Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Wawili hao walifikishwa kwa mara ya kwanza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Novemba 2, 2018 kujibu mashtaka hayo, lakini walishindwa kupata watu wa kuwadhamini jambo lililowafanya waendelee kusota rumande kwa siku 25.
 
Washtakiwa hao jana Jumatatu walishindwa kutimiza masharti ya dhamana wakati kesi yao ilipokuja kwa ajili ya kutajwa lakini leo walipoletwa tena mahakamani hapo mambo yamekuwa mazuri.

Wakili wa Serikali, Mwanaamina Kombakono amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustine Rwizile kuwa washtakiwa hao wameletwa kwa ajili ya kupatiwa dhamana kwa kuwa wadhamini wao wamekamilisha masharti ya dhamana.
 
Baada ya kueleza hayo, waliitwa wadhamini wa Amber ambao ni Salma Omary (46) mkazi wa Mabibo na Asha Seif (46) mkazi wa Mtoni Mtongani ambao wote ni mama zake wadogo na mshtakiwa huyo.

Mtopali yeye amedhaminiwa na Daud Mashimo (32), mchungaji wa Mitume na Maaskofu Tanzania wa Kanisa la Emmaus Bible Church Pentecostal lenye makao yake Mbezi Luis, jijini Dar es Salaam na Francis George (30) mkazi wa Mwananyamala kwa Kopa.
 
Wadhamini hao waliwasilisha vitambulisho vya Taifa mahakamani hapo na kusaini bondi ya Sh15 milioni.

Hakimu Rwezile ameahirisha kesi hiyo hadi Desemba 10, 2018 itakapotajwa tena.

Mbali na Amber Rutty na Mtopali mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyo James Charles maarufu ‘James Delicious’ tayari yupo nje kwa dhamana.
 
Katika kosa la kwanza la kufanya mapenzi kinyume na maumbile ambalo linamkabili Amber Rutty, anadaiwa kutenda kosa hilo kati ya Oktoba 25, 2018 ambapo alimruhusu Mtopali kumuingilia kinyume na maumbile, kosa ambalo amelikana.

Katika shtaka la kufanya mapenzi kinyume na maumbile, linalomkabili Mtopali anadaiwa kati ama baada ya Oktoba 25, 2018 jijini Dar es Salaam alifanya mapenzi na Amber Rutty kinyume na maumbile.
 
Kosa la tatu la kuchapisha video ama picha za ngono, linalomkabili James Charles ama James Delicious inadaiwa kati ya Oktoba 25, 2018, Charles alisambaza video za ngono kupitia makundi ya WhatsApp.

Kosa la nne ambalo ni kusababisha kusambaa picha za ngono linamkabili Amber Rutty na Mtopali wakidaiwa kati Oktoba 25, 2018 walisambaza picha za ngono kupitia makundi ya Whatsapp, jambo ambalo walilikana.
 
"Nakupongeza sana Lowassa, wewe na mimi ndio tulioshiondana, lakini nilipokutupa chini ukaenda huko ukatuliaaa, lakini wanaopiga kelele hata kugombea hawajagombea" You are a super man.Ninalisema hili mzee Lowassa ili ukwashauri wale unaowangoza, otherwise wataishia magereza" JPM.
 
Eti unavunja Sheria za nchi...unategemea Jaji akuchekee chekee tu..Eti kisa wewe ni Mpinzani...Eti ukifungwa utaandamana..Eti utasema umeonewa.. Na Serikali ikuache tu...Hiyo imekua Serikali ama Kikundi cha Ngoma cha kwenu???? Sukumaaa ndaniiiiiii

JPM
 
President MagufuliJP threatens “ opposition leaders will end up in jails “Saying this infront of Chief Justice. I hope Judiciary will issue statement,otherwise we believe that all the cases we opp leaders face in various courts are politically motivated & order is ‘ JAIL THEM ‘
Zitto
 
Screenshot_2018-11-27 ( ) Twitter.png
 
Back
Top Bottom