Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumlipa Sanchez nusu ya pauni milioni moja kwa wiki kwa ajili ya kucheza eneo la nyuma na kupiga mipira mirefu? Hatumtaki awe hivyo. Tunamtaka awe katika eneo la 18. Mashabiki wamekuwa na uvumilivu lakini muungano wa kitimu au namna ambayo tunataka kucheza.” Aliongeza Ince.
 
Ukiwa kama kocha hili upate muunganiko wa kitimu na mwendelezo wa ubora unahitaji kuwa na kikosi cha kwanza unachokiamini. Wachezeshe mechi tano na wataweza kucheza vizuri zaidi.” Alisema staa huyo wa zamani.
 
Kesho United wanarudi kibaruani katika michuano ya Ligi ya Mabingwa kukipiga na Young Boys katika uwanja wao wa Old Trafford na Jumamosi ijayo watasafiri ugenini kukipiga na Southampton katika pambano la Ligi Kuu.
 
Jumatano ijayo wanatazamiwa kuwa na kibarua katika uwanja wao wa nyumbani kucheza na Arsenal ambayo imebadilika zaidi msimu huu tangu kuingia kwa kocha mpya, Unai Emery aliyechukua mikoba ya Arsene Wenger.
 
"Nakupongeza sana Lowassa, wewe na mimi ndio tulioshiondana, lakini nilipokutupa chini ukaenda huko ukatuliaaa, lakini wanaopiga kelele hata kugombea hawajagombea" You are a super man.Ninalisema hili mzee Lowassa ili ukwashauri wale unaowangoza, otherwise wataishia magereza" JPM.
Ujumbe mzuri ila bahati mbaya mwisho kuna vtisho
 
.MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu England ndio kama ulivyosikia. Manchester United inazidi tu kudondosha pointi, huku Manchester City na Liverpool zikiendelea kulinda rekodi zao za kutopoteza mchezo wowote kwenye ligi hiyo hadi sasa.
 
Kwenye mechi za wikiendi iliyopita, mabao kibao yalifungwa, lakini hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuingia kwenye rekodi za wakali hawa watano, waliowahi kufunga mabao matano katika mechi moja ya Ligi Kuu England.
 
5.Sergio Aguero- mabao 5 vs Newcastle (2015)

Ndiye mchezaji wa kipindi cha karibuni aliyeweka rekodi hiyo ya kufunga mabao matano kwenye mechi moja ya Ligi Kuu England. Straika huyo wa Manchester City, Sergio Aguero ni mmoja kati ya wachezaji matata kabisa na alifanya hivyo kwenye mechi ya ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Newcastle United uwanjani St. James Park. Aguero anashikilia rekodi ya kufunga mabao mengi kwenye kikosi cha Man City.
 
4. Dimitar Berbatov- mabao 5 vs Blackburn (2010)

Manchester United ndiyo timu pekee yenye wachezaji wawili walioweka rekodi ya kufunga mabao matano kwenye mechi moja ya Ligi Kuu England. Sambamba na Andy Cole, mwanzilishi, mwingine aliyefanya hivyo ni straika wa Bulgaria, Dimitar Berbatov, aliyefunga mara tano kwenye mechi ya ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Blackburn Rovers mwaka 2010. Berbatov alinaswa na Man United akitokea Spurs.
 
3. Jermain Defoe- mabao 5 vs Wigan (2009)

Novemba 2009, staa wa Tottenham Hotspur kwa wakati huo, Jermain Defoe aliweka rekodi yake kwenye Ligi Kuu England baada ya kufunga mabao matano kwenye mechi moja ya ligi. Defoe alitupia wavuni mara tano peke yake wakati Spurs ilipoichapa Wigan Athletic mabao 9-1 katika mechi kali kabisa ya ligi.
 
Back
Top Bottom