Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

?utm_source=ig_share_sheet&igshid=154eus43mi9bq.jpg
 
Marafiki wawili*(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu. Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo: *Ben:* Muone yule mrembo amenirushia busu *Elias:* tafadhali achana na huyo mwanamke, usimjali.. _(baadae yule mwanamke akamuashiria aende)_ *Ben:* yule mwanamke ameniita! *Elias:* Rafiki yangu, usiende. Nakutafadhalisha. *Ben:* Kwa nini unaniambia nisiende Wakati mrembo kama yule ananiita? Huo ni wivu *Elias:* Ben, Ninakutafadhalisha tena, usiende, tafadhali usiende kule _(akihisi kutotiliwa maanani)_ _(Rafiki yake alimpuuza na alienda kwa yule mwanamke, mwanamke alishuka kukutana naye na wakapanda juu. Ghafla wakiwa wanataka kuanza taratibu za kula uroda, wakasikia mlio WA gari getini)_ .. [emoji344][emoji344] *Lady:* _(akiangalia kupitia dirishani)_ Oooh! Yule ni mume wangu!! *Ben:* Mama yangu ! Nipo matatani, kweli ? ..!! *Lady:* Usiwe na khofu, jifanye kuwa Dobi na anza kupiga pasi hizo nguo (akimuonyesha lundo la nguo) _(Ben alitumia masaa matano kukamilisha kunyoosha zile nguo kwa sababu yule mume hakutoka tena siku ile)_ _(Siku iliyofuatia Ben alikwenda kwa Rafiki yake)_ *Ben:* Kaka, unaweza kuamini Jana nimepiga pasi nguo kwa masaa matano??? *Elias:* Lakini nilikwambia usiende. Nguo zote hizo ulizonyoosha, *Nilizifua Mimi Juzi!!* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *When an experienced person speaks ... [emoji101]you must listen..!*
Interesting
 
Wadada wa siku hizi wanaona bora kumuachia House girl mtoto mdogo anayenyonya,ye akaenda kazini na moyo ukawa na amani kabisa. Kuliko kumuacha House girl huyo huyo na Mume,hata akisafiri kwa siku Mbili. [emoji23][emoji23]i[emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee mmoja aliwakataza vijana kuvuta bangi karibu na nyumba yake,Wavuta bangi wakaamua kumwamisha huyo mzee nanyumba yake,kwanza wakavuta bangi ya kutosha wakavua mashati wakaanza kusukuma ile nyumba, kibaka akapitia yale mashati, mmoja wao alivyogeuka nyuma hakuyaona akajua wameshafika mbali akawaambia wenzie tukazane tumefika mbali hata nguo zetu hazionekani wakaendelea mpaka bange zilivyoyeyuka kchwani wakaona wako palepale.
Hahaha!!
 
Back
Top Bottom