capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Yeah Bro, nimeona high lights zake Youtube, anatufaa sana!Kipindi hiki cha soko huria bei yake kubwa sana huyo
Ila anakaba sana
Tukimkosa nitajiskia vibaya mno! Mourinho haondoki leo UNITED.ado jamaa hajafunguka ila wengi hawapendi cheza chini ya mou
Hope watampata ila sasa kwa mashart mnoTukimkosa nitajiskia vibaya mno! Mourinho haondoki leo UNITED.
Hatuwezi mpata mimi namwangaliaga afu anajina la kizaramoYeah Bro, nimeona high lights zake Youtube, anatufaa sana!
Same here,Duh ndo maana siku hizi sina mzuka wa kuangalia mechi za man u live full presha
Hope watampata ila sasa kwa mashart mno
heheheheeeSame here,
Wacha tumvumilie kidogo afanye usajuli dirisha dogo. Huenda tukafanya vizuri/kupata kikosi kizuri.
[emoji15]Hatuwezi mpata mimi namwangaliaga afu anajina la kizaramo
fast and furious.......
Kwa nini tusimpate, labda asitake kucheza chini ya Mourinho.Hatuwezi mpata mimi namwangaliaga afu anajina la kizaramo
pole mkuu,,,, mou bado yupo yupoTukimkosa nitajiskia vibaya mno! Mourinho haondoki leo UNITED.
mou anaweza kumgeuza messi kuwa garasa ndani ya mwezi!!Yeah Bro, nimeona high lights zake Youtube, anatufaa sana!
Na siku hizi siangalii tena Tv yao.fast and furious.......
[emoji56] [emoji56]Dah! Skujua kama Mourhino bado ni tatzo kwa wachezaji.
Umepata kuskia maoni ya huyo Defender.?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sou vs manU 2-2
team wilder hapaAngalia match na KO, Wilder match zote katoa KO isipokua Moja TU!
Tofauti na Furry KO 19 Kati ya Match 27, bado sana kuifikia record ya Wilder.
Ingawa najua kesho ataendlea kumwaribia record ake, sidhani kama atampiga kwa KO.
ule mkitambi wilder akipigwa astaafu!Wlider ana rekodi nzuri,,,pia Fury sio wa kumbeza ana rekodi poa pia,,,ila Wilder katisha aisee 39 KO
woooohhhhZaburi 23:1-7