Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante mpenzi kwa ushauri wako.
Mama mama... Kilio chako kimenitoa pangoni, ahsanteni kwa wote mlio msaidia kumpokea mzigo alioubeba. Mungu awabariki sana. Mama naomba nikupokee mzigo, usijitese na ya dunia. Usiumie kwa ajili ya mtu ambaye hakujali au anakujali kwa msimu. Jichanganye na watu, cheka, lia, puuzia, futa machozi, simama tena na safari yako ianzie hapo hapo bila kugeuka nyuma. Karibu kwenye uzi wetu, tufurahi, tugombane na mwisho tupatane, sawa mama?.(Vipi ile issue yetu ya kurudiana imefikia wapi? [emoji12] [emoji12] )
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nasema Ha wa yuuuuni ndugu zangu...
Nasema Ha wa yuuuuni wabaya zangu..

Nimerudi kwa jambo moja tu "ku like "

Good evening wooooteee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…