Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahahhahaa
18423702_1512888368723759_5430445080889918536_n.jpg
 
Mama mama... Kilio chako kimenitoa pangoni, ahsanteni kwa wote mlio msaidia kumpokea mzigo alioubeba. Mungu awabariki sana. Mama naomba nikupokee mzigo, usijitese na ya dunia. Usiumie kwa ajili ya mtu ambaye hakujali au anakujali kwa msimu. Jichanganye na watu, cheka, lia, puuzia, futa machozi, simama tena na safari yako ianzie hapo hapo bila kugeuka nyuma. Karibu kwenye uzi wetu, tufurahi, tugombane na mwisho tupatane, sawa mama?.(Vipi ile issue yetu ya kurudiana imefikia wapi? [emoji12] [emoji12] )
Hahahahah walah umejua kunichekesha. Ile ishu kaka alishaibariki kwhy mm niko tayari.
 
Back
Top Bottom