Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1542709817591.jpg
 
5.Sergio Ramos -mabao 11

Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos ni mmoja wa wachezaji wanaoweza kulinda vyema viwango vyao huko Ulaya.

Beki huyo ni kiongozi wa kweli ndani ya uwanja. Ramos haogopi kuony eshwa kadi ya nja no wala nyekundu kwa sababu anacheza kibingwa. Kwenye rekodi zake za Ligi ya Mabingwa Ulaya, beki huyo wa Los Blancos alifunga mabao 11 katika michuano hiyo. Beki huyo alikuwa mchezaji muhimu katika misimu mitatu iliyopita wakati Real Madrid ilipobeba mataji matatu mfululizo ya michuano hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
3.Dani Alves -mabao 12

Paris Saint-Germain ilimnasa Dani Alves kutoka Juventus. Beki huyo wa kulia wa zamani wa Barcelona na Sevilla amekuwa tishio kwelikweli anapokuwa na mpira kwenye goli la timu pinzani. Lakini, ni mahiri pia kwenye kukaba. Kwenye historia yake katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Alves amefunga mabao 12 katika mechi 152 alizocheza. Msimu huu bado ana nafasi ya kufanya vyema zaidi na kuongeza akaunti yake ya mabao baada ya kikosi chake cha PSG kutinga hatua ya mtoano ya michuano hiyo.
 
3.Gerard Pique -mabao 13

Barcelona bila shaka msimu huu wanahitaji kufanya vizuri zaidi tofauti na msimu uliopita, walikomea kwenye hatua ya robo fainali. Wamekuwa wakiishia kwenye hatua hiyo kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita. Msimu uliopita waliduwazwa na AS Roma wakati walipotumwa nne kwenye hatua ya nane bora, licha ya kushinda mechi ya kwanza uwanjani Nou Camp kwa mabao 4-1. Beki wa kati wa wababe hao, Gerrard Pique ni miongoni mwa wanaoongoza kwa mabao, akiwa amefunga mara 13.
 
Back
Top Bottom