Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika mchezo huo timu hizo zilikwenda mapumziko wenyeji wakiongoza kwa bao 1-0, lililofungwa na Carlos Soler dakika ya 17, ingawa Man United ilitawala mchezo huo lakini washambuliaji wake wakiongozwa na Romelu Lukaku hawakuwa makini.
 
Kama sio kuingia kwa shujaa wao katika siku za hivi karibuni Marcus Rashfod akitokea benchi na kuifungia Man United bao la kufutia machozi zikiwa zimesalia dakika tatu mchezo huo kumalizika timu hiyo ingetoka kapa.
 
Tulicheza vizuri na tuliutawala mchezo wakati wa mapumziko niliwaambia kuwa wakatafute bao la kusawazisha hata hivyo Phil Jones akawatoa mchezoni baada ya kujifunga katika dakika ya pili ya kipindi cha pili,” alisema.

Mourinho alisema matokeo hayo ni changamoto kwao na kwamba wanatakiwa kubadilika katika michezo ijayo, ikiwa wanataka mafanikio ya uwanjani.
 
Iwapo Man United wangeshinda mchezo huo wangeongoza kundi hilo kwani Juventus iliyokuwa kileleni nayo ilipoteza mchezo wa jana ikifungwa 2-1 na vibonde wa kundi hilo Young Boys ya Uswisi.

Mourinho alikiri kuwa vijana wake hawakuwa makini kuzitumia nafasi ndiyo maana wakashindwa na timu hiyo inayoshika nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi ya Hispania, ambayo pamoja na ushindi huo itashiriki mashindano ya Europa Ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…