Mshambuliaji wa Uhispania Fernando Llorente, 33, amesema kuwa anajiandaa kurejea klabu yake ya zamani Athletic Bilbao baada ya kujikakamua kuacha alama yake Tottenham. (Evening Standard)
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester City aliondoka Olympiakos siku ya Jumatano na tayari amekataa ofa kutoka kwa Super League ya Uchina na vilabu vya vinavyoshiriki ligi ya MLS. (Sky Sports)
Mlinzi wa Barcelona Gerard Pique, 31, ameimarisha juhudi ya kununua klabu inayocheza ligi ya daraja la tano nchini Uhispania FC Andorra. (Diari d'Andorra - in Spanish)
Atlanta United inayoshiriki ligi ya MLS wamepinga tetesi kuwa wanamtafuta meneja wa Leeds United Marcelo Bielsa wanapojiandaa kumchagua kocha mpya. (Mail)
Hatua ya Inter Milan kushindwa kufika kunda la mwisho la timu 16 katika mchuano wa ligi ya mabingwa, huenda ikaifanya Real Madrid kufufua azma yao kumnunua mshambuliaji wa Argentina Mauro Icardi, 25. (AS)
Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba, 25, ameshangazwa na hatua ya meneja wake Jose Mourinho, kumuacha nje ya kikosi cha kwanza cha klabu hiyo katika mechi mbili zilizopita. (Guardian)
Mkuu nataka kuanza kulima lakini unaanza kunichosha, yaani unalima sasa mavuno mpaka september, unalima ngano? Au kile kilimo alichokuelekeza bint mpole?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba, 25, ameshangazwa na hatua ya meneja wake Jose Mourinho, kumuacha nje ya kikosi cha kwanza cha klabu hiyo katika mechi mbili zilizopita. (Guardian)
Chelsea wanatafakari uwezekano wa kumnunua kiungo wa kati wa Barcelona ambaye pia aliwahi kuichezea Manchester City Denis Suarez, 24, wanapojiandaa kumuachilia Cesc Fabregas. (Mirror)
AC Milan imemweka mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa Uingereza Marcus Rashford, 21, katika orodha ya wachezaji inayopania kuwanunua wakati dirisha la usajili litakapo funguliwa mwezi Januari.
Hazard alisema anamuunga mkono Sterling kwa kuwa ni mchezaji bora duniani na hakubaliani na vitendo vya ubaguzi wanavyofanyiwa wachezaji wenye asili ya Afrika.
“Kwangu Raheem ni mchezaji hodari, niko upande wake. Uchunguzi wa tukio hili unaendelea sijui nini kitaamuliwa, naamini waliofanya vitendo hivi siyo mashabiki,” alisema Hazard.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.