Hiyo post ni ya saa moja na dakika sita asubuhiUmekosa
Hajawai kusosea huyo ndiye mleta statistics za huu uziUmekosa
bonas ya jaza ujazwe imehamia huku
Mkuu tunakuamini katika hicho kitengo.Hiyo post ni ya saa moja na dakika sita asubuhi
Toa likes pata likes zaidiRule no 1
Kawa kawaidaMuache Toa likes Pata likes...
Habari zenyu watanganyika.
Peace and love <3
Juhudi yako, ndio mafanikio yakoMkuu tunakuamini katika hicho kitengo.
Mbele daima uzi moto
Kula likes zakoJaza ujazweeeeeee
coco km kule kwenye majukwaa ya siasa walikubania sis huku ni like.
HahahaahNakusalimu tu kwa mbali
Toa likes Pata likes...Hiyo post ni ya saa moja na dakika sita asubuhi
Toa likes pata likes zaidi
Teh teh tehYani angekaza kidogo tu leo ungekua unaimba pambio hapa[emoji23] [emoji23]
Duh!Umenikumbusha mbali eeeeeh
Yaani waoikuwa wananibamiza na upupwu wao hata kuniquote nafungua JF nakuta 800 mara 500 mara eeeeeh
Ikabidi signature yangu iwe ilivyo sasa
Ha ha haaaaa
Hadi humu wanakuja kunijaribu shaaaaa
Ninao