Na majigambo ya this iz liver
Watu tunapigwa utadhan hatuna kocha mashuhuri daah
Lawama zooote atapewa pogba duh
Wale.wamiliki wa man u shwain zako kabisa si wamtimue tuHuyo kocha dawa yake iko jikoni! Watu uvumilivu utawashinda tu, hakuna namna! [emoji23][emoji23]
Nyumban kumenoga,,nmerudi rasm YangaLiver vs man u
Yanga napo majanga tu.Nyumban kumenoga,,nmerudi rasm Yanga
Mashort 36-6 aibu gani aiseeeYanga napo majanga tu.
Ndio NumbiDuh aiseeee Yegomasika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo jana na leo
Balaa mno,wazoefu wa mechi kubwa wamepigwa benchi khaaa kocha ana bifu bayaMashort 36-6 aibu gani aiseee