Safi kabisa....Mimi sijambo ila ZOPPA sina uhakika. hapatikani kila kona ukikutana naye popote msalimie [emoji16][emoji16]
Ni namba ndiyo ila msipishane sana...na ligwaride kama la MP uliweze...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]Kweli kabsa,,kapo vzr,,maisha mazuri na gym sana znakafanya kaonekane kabinti,,,Wade marioo pale,kama miaka 10 kamempita,,ila bro umr ni namba tu!!!