Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi sijambo ila ZOPPA sina uhakika. hapatikani kila kona ukikutana naye popote msalimie [emoji16][emoji16]
Safi kabisa....

Nilitakiwa kuiweka "ZOPPA" kwenye alama kama hivi halafu nikasahau. Siku moja humu ulitutania kuhusu ZOPPA [emoji16][emoji16][emoji16].

ZOPPA wa humu alishapoteaga muda mrefu sana. Ila si ajabu akaibuka tena na atatutukuta HATUJAPOA [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Akizungumza kuhusu hilo Raiola alisema mchezaji huyo amemwambia anataka kuondoka Old Trafford, katika dirisha dogo la usajili wa Januari hivyo kumuagiza azungumze na Juventus ili iweze kushughulikia uhamisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…