Mino Raiola alikuwa na mazungumzo na Juventus jana Jumatatu, lakini Manchester United hapo tayari kuuza kiungo wao Paul Pogba.
Imefichukua wakala wa kiungo mahiri wa Manchester United, Paul Pogba, Mino Raiola, yupo katika mazungumzo na Juventus kuhakikisha mchezaji huyo anarudi Turin.