Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1545235834682.jpeg
 
Walee watu wanaosumbuliwa na meno,utasikia nyama mimi situmii,,na kweli hatumii hata kidogo

Linapokuja swala la kuku sasa,,utasikia aah nyama ya kuku huwa fresh tu natumia bila waswas!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha uongo kivp bro

Hii niliisoma kwenye lile shairi la karud baba mmoja toka safar ya mbali,,baadh ya mashair nmeyasahau
Ulitumia hicho kitabu shuleni au wapi? Ulikisoma mwaka gani?

Ni uwongo katika mazingira ya kawaida ya mkulima wa Tanzania - kauli mbiu za kikasuku enzi za Nyerere na vijiji vyake vya Ujamaa
 
Ha ha ha ha sawa,,mhusika namba moja huu
Alishanifanya nikajikataza kumbishia hapa JF kisa eti Tekno yangu haiwezi kujibizana na iPhone. Hapa nilipo napambana kufa na kupona niipate hiyo iPhone aisee. Atahama JF kwa maana kila atakachoweka mi nitambishia tu. Wamiliki wa iPhones hovyo sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom