Namshukuru Allah,,mambo yanaenda,,vp kwa upande wako huko?
Inapendeza ndugu yangu,,tuwe na wasaa mwema popote tulipoNa pia nashkuru.
Inapendeza ndugu yangu,,tuwe na wasaa mwema popote tulipo
Ha ha ha hata mm sijui aisee,,watumiaji kama wapo hapa waje watuelezee vzr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwasababu ipi hasa?
Ha ha ha hata mm sijui aisee,,watumiaji kama wapo hapa waje watuelezee vzr
Ha ha ha ha sawa,,mhusika namba moja huucapitalpool njoo utueleze
Uwongooooooo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kama Mnataka Mali,Mtaipata Shambani
Ha ha ha uongo kivp broUwongooooooo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
(By the way, andaeitini ulisikia wapi hii kauli? )
Ulitumia hicho kitabu shuleni au wapi? Ulikisoma mwaka gani?Ha ha ha uongo kivp bro
Hii niliisoma kwenye lile shairi la karud baba mmoja toka safar ya mbali,,baadh ya mashair nmeyasahau
Alishanifanya nikajikataza kumbishia hapa JF kisa eti Tekno yangu haiwezi kujibizana na iPhone. Hapa nilipo napambana kufa na kupona niipate hiyo iPhone aisee. Atahama JF kwa maana kila atakachoweka mi nitambishia tu. Wamiliki wa iPhones hovyo sana [emoji16][emoji16][emoji16]Ha ha ha ha sawa,,mhusika namba moja huu