capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Too much hate sasa imekua,ni machaguzi tu ya simu hayana uhusiano Na mtumiaji.
Me natumia iPhone na sijishaui.
[emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
Mungu ni mwema ndugu yangu. Habari ya majukumu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema mkuu??
Haloooooo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 972570
Ok poa bro!
Leo nimekupata uzuri!
Ofcoz wacha turinge bana,
Afu alichosema ningendako wala si uongo, we are very special, Updated and secure kulikoo watumiaji wa Androids!
SHIMBA YA BUYENZE nakukaribisha katika ulimwengu wetu huu.
Salama kabsa mkuu,majukumu yapo poa,Mungu anasaidiaMungu ni mwema ndugu yangu. Habari ya majukumu?
Bro, we unachaguaga? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Huyo naye drake alipita nae??Drake hachagui kuna wengine shangaz zake kabsa,,jamaa anapita tu
Ha ha ha huwa sichagui bro,maisha yenyew yapo wap uanze kuchagua tenaBro, we unachaguaga? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Huyu yuko 22. Yule mwingine yuko 28 ila moto sijaona...Na pengine huwa anasingiziwa tu...
Imenikumbusha wakati niko mgeni mgeni bro. Walikuwa wakinichekea hivi naona tayari kumbe kwao yaweza kuwa kawaida tu. Hovyo sana hawa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]Mtekaji nini Bro,
Naona anafurahia mazingira!
Ngoja nipambane bro....
Leo nimekupata uzuri!
Ofcoz wacha turinge bana,
Afu alichosema ningendako wala si uongo, we are very special, Updated and secure kulikoo watumiaji wa Androids!
SHIMBA YA BUYENZE nakukaribisha katika ulimwengu wetu huu.
That's my bro. Nilitaka nikushangae aisee....Ha ha ha huwa sichagui bro,maisha yenyew yapo wap uanze kuchagua tena