I don't believe in this notion of failing in life...Take it...View attachment 972545
Mh!Some girls re very wicked oh! I just told a girl that I can die for her and she was like " prove it ! [emoji24][emoji24][emoji24]
Utafti
farkhina sababu iko hapa!
Unaweza date na mtu mlalamishi kama huyu??
Hawa ndio wamiliki wa androids
Bro nafurahi kukuona hapa na kule kwa jukwaa letu la kuipambania Tanzamia yetuNionyeshe mwenye kigoda sasa, beautiful avatar VE.
Take it...View attachment 972545
Amin....Mungu atulinde tufike salama safari zetuView attachment 972531
He!!! Reli ya wapi hiyo?Hapa hata treni itabidi isimame tu hakuna namna. Yaani limemwagika pwaaaa !!! Tumetoka mbali kwenye uzi huu (enzi zile nikiwa jenero sekeretari wa CHAWAMITA). Those good Ole days...
View attachment 972534
Tena Invincible siku nyingi hajaonekana. Unaweza chukua nafasi yake aisee. Usiwe tu mnoko ukiukwaa umodereta na kuanza kugawa ban kama njugu [emoji16][emoji16][emoji16]Nataka kuwa moderator....