Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20181211-WA0074.jpeg
 

Utafti
Alishanifanya nikajikataza kumbishia hapa JF kisa eti Tekno yangu haiwezi kujibizana na iPhone. Hapa nilipo napambana kufa na kupona niipate hiyo iPhone aisee. Atahama JF kwa maana kila atakachoweka mi nitambishia tu. Wamiliki wa iPhones hovyo sana [emoji16][emoji16][emoji16]
farkhina sababu iko hapa!

Unaweza date na mtu mlalamishi kama huyu??

Hawa ndio wamiliki wa androids
 
Back
Top Bottom