Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ha ha ha ha ha ha dah,Unakaita?
A yu siriazi?
Kamepotea...
Pengine nako kametekwa whu nouzi...
Na tuvimbaumbau hutu unakakwapua tu unakatia katika mfuko wa koti huyoo unakwenda zako. Tukaombee
Kwel kamepotea hz siku mbl tatu,hope majukum tu yatakuwa yamekabana
Kale kakitekwa huyo mtekaj inabd awe nunda,,maana sio kwa kelele zile,,vinginevyo atakarudsha mwenyew haha