Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unakaita?

A yu siriazi?

Kamepotea...

Pengine nako kametekwa whu nouzi...

Na tuvimbaumbau hutu unakakwapua tu unakatia katika mfuko wa koti huyoo unakwenda zako. Tukaombee
Ha ha ha ha ha ha dah,

Kwel kamepotea hz siku mbl tatu,hope majukum tu yatakuwa yamekabana

Kale kakitekwa huyo mtekaj inabd awe nunda,,maana sio kwa kelele zile,,vinginevyo atakarudsha mwenyew haha
 
Ha ha ha ha ha ha dah,

Kwel kamepotea hz siku mbl tatu,hope majukum tu yatakuwa yamekabana

Kale kakitekwa huyo mtekaj inabd awe nunda,,maana sio kwa kelele zile,,vinginevyo atakarudsha mwenyew haha
Makelele ya barazani hayo kasikutishe. Tena vyenye makelele hivi ukikakita limujurubeng la uhakika kimyaa kinabaki kuugulia "maumivu" kichinichini tu huku kikilaani na kujiongelesha chenyewe. Sasa we hapo hata usoni usikaangalie bali kape kipigo cha mbwa koko konki konki kama vile hukijui. Kesho yake ukikutana nacho kimyaa ni shikamoo braza tu na magoti mpaka chini kinapiga hata machoni hakiwezi kukuangalia [emoji16][emoji16][emoji16]

We tukiombee tu huko kiliko hata kama kinapambana na mjurubeng hevi kitoke salama [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Ha ha ha aisee,,kakija hapa hzo vurugu zake sipat picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…