Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,659
Hamtaelewana lugha yeye hajui kinyantuzu wala kingereza chako, utaweza kuongea nae kindengereko?[emoji848]Nipe namba ya landilodi niongee naye
Hamtaelewana lugha yeye hajui kinyantuzu wala kingereza chako, utaweza kuongea nae kindengereko?[emoji848]Nipe namba ya landilodi niongee naye
Wewe si utakuwa mkalimani? Tena Wandengereko wapoleeee [emoji16][emoji16][emoji16]Hamtaelewana lugha yeye hajui kinyantuzu wala kingereza chako, utaweza kuongea nae kindengereko?[emoji848]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]No D*ck[emoji533] is bigger than a baby's head. Unnecessary screaming during sex should end in 2018[emoji23]
Nasikia watu wako busy na upandaji wa mbegu, watavuna baada ya miezi tisaAww! Asante Yaani hata mimi naona jf Usiku wa.. manene mmekimbia wote
Amesema hataki mjadala katika hilo keshanikabidhi notisi kufikia saa 10 alasiri niwe nimeshahama...haya majaliwa yangu nayategemea kwako[emoji134]Wewe si utakuwa mkalimani? Tena Wandengereko wapoleeee [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanazipandia wapi hizo mbegu?Nasikia watu wako busy na upandaji wa mbegu, watavuna baada ya miezi tisa
Kimbilia kwa serikali ya mtaa hapo watakusaidia aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Amesema hataki mjadala katika hilo keshanikabidhi notisi kufikia saa 10 alasiri niwe nimeshahama...haya majaliwa yangu nayategemea kwako[emoji134]
What about a man that you took from another woman?[emoji848]Never trust a woman that you took from another man.
Huyo hana matatizo. You can trust him 100% [emoji16][emoji16][emoji16]What about a man that you took from another woman?[emoji848]
Kwenye vitalu vya sita kwa sita vilivyoandaliwa kwa ustadi na fundi seremalaWanazipandia wapi hizo mbegu?
Ama kweli mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe...yaani umenisababishia matatizo halafu badala ya kunisaidia kwa hali na mali unanisaidia kwa mali tu? [emoji3525][emoji3525]Kimbilia kwa serikali ya mtaa hapo watakusaidia aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Na kama mpangaji una haki zako. Huyo mndengereko hana haki ya kukupa notisi ya siku moja