Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amesema hataki mjadala katika hilo keshanikabidhi notisi kufikia saa 10 alasiri niwe nimeshahama...haya majaliwa yangu nayategemea kwako[emoji134]
Kimbilia kwa serikali ya mtaa hapo watakusaidia aisee [emoji16][emoji16][emoji16]

Na kama mpangaji una haki zako. Huyo mndengereko hana haki ya kukupa notisi ya siku moja
 
Kimbilia kwa serikali ya mtaa hapo watakusaidia aisee [emoji16][emoji16][emoji16]

Na kama mpangaji una haki zako. Huyo mndengereko hana haki ya kukupa notisi ya siku moja
Ama kweli mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe...yaani umenisababishia matatizo halafu badala ya kunisaidia kwa hali na mali unanisaidia kwa mali tu? [emoji3525][emoji3525]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…