Naona maandalizi uliyojifanyia ktk kuazimisha X mas ni tosha sana
Bila Shaka kopa inawakilisha upendo
Mbona mbio kulikoni tena[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wasalimie waambie tukilipwa pesa ya kangomba tutawakuta[emoji119][emoji119]
[emoji125][emoji125][emoji125]
Kitoweo tumekiona tatizo hatujalipwa pesa ya korosho tukilipwa tuwahitajiaLake ManyaraView attachment 974323
Sawa sawa mkuuWasalimie waambie tukilipwa pesa ya kangomba tutawakuta