Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna mtu namfahamu anafanya MA ya Sociolinguistics amezikusanya zote. Anakusanya kauli za viongozi wote na kuzifanyia uchambuzi wa kimuktadha na kimaudhui huku akizingatia ile kauli kwamba lugha ni utambulisho wa mzungumzaji kijamii na hata kitabaka katika jamii.Nafikilia kungeanzishwa Uzi wa kukumbushana baadhii ya kauli za Rais wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania ili kujikumbusha