Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna mtu namfahamu anafanya MA ya Sociolinguistics amezikusanya zote. Anakusanya kauli za viongozi wote na kuzifanyia uchambuzi wa kimuktadha na kimaudhui huku akizingatia ile kauli kwamba lugha ni utambulisho wa mzungumzaji kijamii na hata kitabaka katika jamii.Nafikilia kungeanzishwa Uzi wa kukumbushana baadhii ya kauli za Rais wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania ili kujikumbusha
Hili wimbi la kuonyesha makalio likipita sijui nini kitafuatia. Yaani Instagram nzima ni makalio tu mwanzo mwisho. Kabla ya hapa mabinti walikuwa wanaonyesha nini ili kuhakikisha kuwa ni warembo?
Anzisha th mkuuNafikilia kungeanzishwa Uzi wa kukumbushana baadhii ya kauli za Rais wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania ili kujikumbusha
Niaje mkuuSalama sana rafiki
Hewallah,
Siyo kitoweo chako hicho.Kitoweo tumekiona tatizo hatujalipwa pesa ya korosho tukilipwa tuwahitajia
Iringa naona sikukuu mambo ni fayaaa !!!