nicca frm nowhre
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 394
- 1,518
Mkuu mambo vipiHatariiiiii
Mkuu mambo vipiMorning All
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. Hujakoroga!!!!*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha nishatumia hii formula*if you see a group of Four girls and you want to Talk to one, first Greet the Ugly one, She is the_**Commander in Chief*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu niaje darajani jana pamevunjwaUzi maalumu wa kupeana likes
Mwaga likes apa....
Hope watashinda leoThis is simbaaaaa braza View attachment 975080
Mmeanza kujipa matumaini
Aiseee kweliSunday specialView attachment 975110
Ha ha haMmeanza kujipa matumaini
Nipo poa baba wawili
Wananiboa si wafungwe na wao maneno yaisheeeeHa ha ha
Kwema mkuu,,hongeren aisee,
DavetCity kapigwa?
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]