Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku imeshika kasi
Na ukasi huu ndo unatupeleka kaburini indeed wallahi. Na hakuna lolote la kufanya...

Wanasayansi wanasema njia pekee ya kujiponya na ukasi huu kwa sasa ni kuishi katika chombo kinachosafiri kwa kasi ya mwanga. Hapo muda unadorora balaa yaani ingetuchukua miaka na miaka kuhengeka...
 
Chakula cha masingasinga jamani duh !!!

Waweza kujikaza ukala. Kasheshe sasa ni kesho yake ukienda ofisi kuu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…