moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Penzi kileo cha fikara. DDC MlimanjDDC mliman park -mv mapenzi
Penzi kileo cha fikara. DDC MlimanjDDC mliman park -mv mapenzi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukatili unaanzia mbali
Kapotea aisee,,sijui nani amebahatka kukateka ha ha haKale kakimbaumbau ketu hakajaonekana? Kamepatwa na nini?
Huyu siyo kwamba kalegezwa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Na kale kanavyoonekana ni moto wa kuotea mbali. Si ajabu mtekaji aliko yuko hoi balaa.Kapotea aisee,,sijui nani amebahatka kukateka ha ha ha
Ha ha ha ha ha inaweza kuwa ni maneno tu bro,kule kakawa kachovu kabsaNa kale kanavyoonekana ni moto wa kuotea mbali. Si ajabu mtekaji aliko yuko hoi balaa.
Kazaramo kawe kachovu? Thubutuuu..Ha ha ha ha ha inaweza kuwa ni maneno tu bro,kule kakawa kachovu kabsa
Ha ha ha ha ha aisee,,Kazaramo kawe kachovu? Thubutuuu..
Fanya bidii uje ulete mrejesho [emoji16][emoji16][emoji16]