Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ajenti wa kiungo cha kati wa Manchester United Fred anasema mchezaji huyo wa miaka 25 atasalia kwenye klabu hiyo wa Premia. Raia huyo wa Brazil alijiunga na Old Trafford mwezi Juni lakini amehusishwa na kuondoka. (Sunday Star)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…