KaGif kangefaa kabisa...Goli la chama unaweza ombea mkopo benki
Linaweza hata kumpa mimba Wema Sepetu
Mourinho popote ulipo
Huyu jamaa ni burudani tosha kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Subirini afungue kinywa chake...[emoji16][emoji16]View attachment 975573
This is Simba bhanaSubirini afungue kinywa chake...[emoji16][emoji16]View attachment 975573
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ha ha ha ha
Hakuna mpiga push up hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu jamaa ni burudani tosha kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]This is Simba bhana
Mkuu mambo vipi
Furaha hapa tu liverpool anafanya yake simba anafanya yake dah mwaka unaisha vizuri
Mkuu niko happy sana leo bado natafakari goli la mwamba wa lusaka ChamaHeshima yako Mkuu, mambo poa kabisa Mkuu. Nakutakia Christmas njema na mwaka mpya mwema pia. [emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]
Upo mrembo