myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Inshaallah mkuu,,kwa kudra zake Allah hakika tutauona mwaka ujao tukiwa na aman na afya tele[emoji120][emoji120][emoji120]Hapa Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia uzima na afya njema.
Tunaendelea kumuomba atujaliie zaidi tuione Chrismass ya 2018 na mwaka mpya 2019.
Inshaallah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati mbaya hakapo. Kwema bro?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
he heheeeee......Huku ndo wanamalizia malizia shopping kwa ajili ya kesho....
View attachment 976134
mzigo mkubwa...Lenzi mbinuko...[emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 976169