capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Na kwako pia Consuela [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Thanks BroNa kwako pia Consuela [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tuombe Mungu tuumalize mwaka salama tusiwe mojawapo ya maelfu kwa maelfu ambao hawataufikia. Kwako huko mambo yanaendeleaje?Safi kamanda,.
Habari za maandalizi ya kuumaliza mwaka