Kangeanzisha ligi,,kwema bro,habar za kwako?Bahati mbaya hakapo. Kwema bro?
Kabisaa jirani...mzigo mkubwa...
Asante bro. Na kwako poa. Mola Aendelee kutubariki bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kangeanzisha ligi,,kwema bro,habar za kwako?
Uwe na maandaliz mema ya sikukuu ya Christimas,Boxing Day na mwaka mpya pia.
Pamoja bro[emoji120][emoji120][emoji120]Asante bro. Na kwako poa. Mola Aendelee kutubariki bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Pole bro,,,niaje pande hzo,mitikasi vp huko?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mambo yanaenda Bro
Pole bro,,,niaje pande hzo,mitikasi vp huko?
Duniani hapa tunapita tu,,ukiwaza sana khs hicho kitu unaweza stuck kwa muda,,cha msingi ni kujua tupo hapa kwa muda tu!!Asante Bro Duniani sisi sote wasafiri Tu
AaminInshaallah mkuu,,kwa kudra zake Allah hakika tutauona mwaka ujao tukiwa na aman na afya tele[emoji120][emoji120][emoji120]
Maandaliz mema ya sikukuu na ya kuufunga mwaka pia!
Duuuu, sasa wataolewa na nani?
Safi kamanda,.Huku ndo wanamalizia malizia shopping kwa ajili ya kesho....
View attachment 976134