capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Tunaendelea vema kamanda, tuendelee kuomba uzima na afyaTuombe Mungu tuumalize mwaka salama tusiwe mojawapo ya maelfu kwa maelfu ambao hawataufikia. Kwako huko mambo yanaendeleaje?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu Bilionea habari yakoPoleni wafiwa kwa msiba...
[emoji818][emoji818][emoji818]