capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Yupo hapa ndani,Acha masiara tunae humu ndani
Yupo hapa ndani,
The Best JF Couple. Endeleeni kubarikiwa wapendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asante sana Smart911 kwa kuwa nami katika kipindi chote hiki. Unanipenda unanijali unaniheshimu unanisikiliza na kunikubali pia. Ni miaka miwili sasa bado tunasongesha jahazi.
Nina kila sababu ya kukushukuru sana sana tena saaaana Smart911 Mungu azidi kutupigania akubariki na akuzidishie mara elfu.
Merry Christmas and a happy new year sweetmchumba.
Ailavyuuuuuuuuuuuuuuuu
Wengine watakuja kuteguka viuno wakibong'oa. Kama lipo lipo tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Thanks Mahondaw. Na kwako pia na hubby wako. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Merry Christmas and a happy new year wana likes ..@ Numbisa Beef Lasagna SHIMBA YA BUYENZE Hajar
Cc Smart911 COLE William BAK carbamazepine na wengine weeeengi
Sasa maswali gani tena haya bro?Kwani unamtaka wewe au Cole.?
πππππππππWengine watakuja kuteguka viuno wakibong'oa. Kama lipo lipo tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sura hata mbuzi anayo bana mambo yote msambwanda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
ππππππππππSura hata mbuzi anayo bana mambo yote msambwanda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]