Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23] ilibidi nikapishe kidogo
Niliona. Uliniacha nipambane peke yangu. Ila kama ulivyosema hakana neno. Kalicheka cheka tu na kuguna guna (pengine bado kanaweweseka), kakatoa makwotesheni ya wosia wosia hivi usiotekelezeka halafu hakooo kakatingishika kwenda kwa mtekaji wake. Tuendelee kukaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ha ha ha kweli kabsa bro,mtekaji bado ana kazi nae,,kaliachiwa mara moja moja,inaweza kuwa pia kaliiba nywira kakaingia humu kmya kmya
 
received_223811528509286.gif
 
Back
Top Bottom