Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

13f018c3bb2170d50b626b78907617df.gif
 
Na ukasi huu ndo unatupeleka kaburini indeed wallahi. Na hakuna lolote la kufanya...

Wanasayansi wanasema njia pekee ya kujiponya na ukasi huu kwa sasa ni kuishi katika chombo kinachosafiri kwa kasi ya mwanga. Hapo muda unadorora balaa yaani ingetuchukua miaka na miaka kuhengeka...
Shimba Ya Buyenze inakuaje bro..
 
Back
Top Bottom