OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Album qali sana.Get rich or die trying
Album qali sana.Get rich or die trying
Ha ha haNimeacha Bro tafiti imesitishwa
Bro, usikatishwe tamaa. Mtumia iPhone huyu mjanja mjanja sana. Usitishwe na picha za coding, magari na saa ghali anazoposti. Pambana bro [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]Unaona sasa hata taarifa tulikuwa hatuna tunajadili tu juu juu kama ni hivyo inabidi tuache hizi harakati
Wacha uzembe Bro, karibu unafika!Nimeacha Bro tafiti imesitishwa
Ha hahBro, usikatishwe tamaa. Mtumia iPhone huyu mjanja mjanja sana. Usitishwe na picha za coding, magari na saa ghali anazoposti. Pambana bro [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Yaani kuna wakati unaniangushaga mpaka nakaribia kukutia kwenye iginoa listi [emoji36][emoji36][emoji36]Nimeacha Bro tafiti imesitishwa
That's my bro!![emoji123][emoji123]Bro, usikatishwe tamaa. Mtumia iPhone huyu mjanja mjanja sana. Usitishwe na picha za coding, magari na saa ghali anazoposti. Pambana bro [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Bro, usikatishwe tamaa. Mtumia iPhone huyu mjanja mjanja sana. Usitishwe na picha za coding, magari na saa ghali anazoposti. Pambana bro [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Ha ha ha ha mpe mbinu zako unazotumiaga broYaani kuna wakati unaniangushaga mpaka nakaribia kukutia kwenye iginoa listi [emoji36][emoji36][emoji36]
Unyirambani huko hayapo?Sawa sawa bro!!mambo ya pwani haya
Wacha uzembe Bro, karibu unafika!
Cole anazingua, Isitoshe nilitangaza huyu binti si mtekaji.Yaani kuna wakati unaniangushaga mpaka nakaribia kukutia kwenye iginoa listi [emoji36][emoji36][emoji36]
Mbinu zangu haziwezi huyu. Ni mpole mno. Mbinu zangu kidogo ziko rafu rafu lakini hazijawahi kuniangusha wala kuniletea msongo wa mawazo [emoji16][emoji16][emoji16]Ha ha ha ha mpe mbinu zako unazotumiaga bro
Hayapo haya mambo ya hainaga ushemeji,,haya mambo yako huko pwani tu,,,sema mambo mengine ni tabia za wahusika tu,kwahyo nisijaji sana pwaniUnyirambani huko hayapo?
Yaani kuna wakati unaniangushaga mpaka nakaribia kukutia kwenye iginoa listi [emoji36][emoji36][emoji36]
Au akajia kitanziHahaha sasa Bro tunahofia ukute capitalpool amewekeza isije msabibishia akajirusha kutoka ghorofani