Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naamini Capital anatufunga kamba ila kama ni kweli basi nahisi ni yule binti mpole sana asiye na makuu wala ugomvi na mtu. Na kuna kipindi ulishasema kabisa kuwa ni wifey material sijui uliishia wapi. Unanipata bro?
Kama ni kweli aisee hebu acha masikhara basi bro? Nilishakaa huko kwao napajua. Wako poa sana na hata zaidi ya hapo. Hebu changamka bro. Nakuomba sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nakupata vizuri sana Bro, yule namvutia kasi Mimi pia namuhisi ni yeye
Kama ni kweli aisee hebu acha masikhara basi bro? Nilishakaa huko kwao napajua. Wako poa sana na hata zaidi ya hapo. Hebu changamka bro. Nakuomba sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]