Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huo utamaduni/utaratibu si wetu watu wa kanda ya ziwa!Hujasikia kuwa wanakulaga? [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro naomba hii nyimbo.Mbilia Bel -Nakei Nairobi
Bro unayepambana naye siyo wa kanda ya ziwa [emoji16][emoji16][emoji16]Huo utamaduni/utaratibu si wetu watu wa kanda ya ziwa!
Unasikilizaga mpaka Bolingo bro?
Sipambani Bro, me nilikua nakumbushia tu.Bro unayepambana naye siyo wa kanda ya ziwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha wanakuwa vizuri kabisa mkuu..Na kwako mkuu. Makamanda wako wanaendeleaje? Wamekuwa vidume sasa ati. Mungu Aendelee kuwalinda, kuwaongoza na kuwabariki ?[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huyo ni shemeji yako Bro, unamvutiaje kasi sasa.?
Bro naomba hii nyimbo.
Mkuu ingefaa zaid kama ungetoa location..Na kwako pia
Haya. Mimi ni obseva tu bro. Maandaeitini nyie mnanifurahishaga sana. It is your time bana. Enjoy life to the max au kama alivyosema Sam Mapangala vunja mifupa wakati meno bado iko...Sipambani Bro, me nilikua nakumbushia tu.
Wacha amalize tafiti yake kwnza.
Sawa sawa bro!!mambo ya pwani hayaHuo utamaduni/utaratibu si wetu watu wa kanda ya ziwa!
Sipambani Bro, me nilikua nakumbushia tu.
Wacha amalize tafiti yake kwnza.
Siwezi kuwasahau. Na nikizungukia Chuga lazima nifike kuwaona. Ulitujulisha walipozaliwa. Hiyo ni heshima sana ulitupa...Hahaha wanakuwa vizuri kabisa mkuu..
Nashukuru kwa kuwakumbuka...
Ha ha ha haUnaona sasa hata taarifa tulikuwa hatuna tunajadili tu juu juu kama ni hivyo inabidi tuache hizi harakati