Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu huu mtandao auhitaji sana real identity ukifanya hiyo pole yako.

Id yangu na jina hilo halina uhusiano hata kidogo na maisha yangu ya kawaida.

Pole sana mkuu kwa kuweka wasifu wangu wa mtandao na real life.

"Hafu hizi id za jf ni kama nguo unaweza kuvaa hii mda huu na nguo nyingine mda mwingine.
Kumbuka hamna mtu mwenye nguo moja. "

Kama mwerevu umenielewa.

KIROHO SAFI NAGONGA LIKES KAMA KICHAA.

Haya nimekuambia naona huyajui, ila poa endelea tu usijali.
 
Mkuu huu mtandao auhitaji sana real identity ukifanya hiyo pole yako.

Id yangu na jina hilo halina uhusiano hata kidogo na maisha yangu ya kawaida.

Pole sana mkuu kwa kuweka wasifu wangu wa mtandao na real life.

"Hafu hizi id za jf ni kama nguo unaweza kuvaa hii mda huu na nguo nyingine mda mwingine.
Kumbuka hamna mtu mwenye nguo moja. "

Kama mwerevu umenielewa.

KIROHO SAFI NAGONGA LIKES KAMA KICHAA.

Hahahaha
 
Back
Top Bottom