Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu hana mtako huyu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huyu hana mtako huyu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Prof. wako kapotelea wapi? Ile kozi ulimaliza?
Hakuna kitu hapo. Mambo yote hapa [emoji116][emoji116]
View attachment 977922
Kapotea sana Prof, hatukumaliza ila kiasi chake tumepiga hatua.Prof. wako kapotelea wapi? Ile kozi ulimaliza?
Utani tu bro...Dah! Mbona umeganda hapo.?
Au sababu nilisema yupo humu?? Mali ya watu Ohoooo!
Sasa unaweza kusalimia na kujiinturodyusi yuaselufu kwa Kijita? Kuchombeza je?Kapotea sana Prof, hatukumaliza ila kiasi chake tumepiga hatua.
Utani tu bro...
Shi izi gojazi lakini...
Mali ya watu? Kuna nani ambaye siyo mali ya watu. Hapa duniani ni kunyang'anyana tu. Ukimzidi huyu unamnyang'anya. Na wewe ukizubaa unanyang'anywa...na maisha yanasonga [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Bado kuchombeza, ila sina mpango wa kumchombeza mjita, sina haraka.Sasa unaweza kusalimia na kujiinturodyusi yuaselufu kwa Kijita? Kuchombeza je?
Nilimwachia bro wangu. Ila naye ukampiga hii mikwara yako isiyo na kichwa wala miguu mpaka akagivapu [emoji16][emoji16][emoji16]Ngozi ya mtume imekuchanganya Eeeh.?
Ila hawa watoto waache wavei Hijab tu,, ni matatizo!!
Unamwambiaje demu kwa KijitaBado kuchombeza, ila sina mpango wa kumchombeza mjita, sina haraka.
Ha hahUnamwambiaje demu kwa Kijita
"Aisee una mvuto sana?"