Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dah! Mbona umeganda hapo.?

Au sababu nilisema yupo humu?? Mali ya watu Ohoooo!
Utani tu bro...

Shi izi gojazi lakini...

Mali ya watu? Kuna nani ambaye siyo mali ya watu? Hapa duniani ni kunyang'anyana tu. Ukimzidi huyu unamnyang'anya. Na wewe ukizubaa unanyang'anywa...na maisha yanasonga [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Utani tu bro...

Shi izi gojazi lakini...

Mali ya watu? Kuna nani ambaye siyo mali ya watu. Hapa duniani ni kunyang'anyana tu. Ukimzidi huyu unamnyang'anya. Na wewe ukizubaa unanyang'anywa...na maisha yanasonga [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Ngozi ya mtume imekuchanganya Eeeh.?

Ila hawa watoto waache wavei Hijab tu,, ni matatizo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…