Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na kwako pia ndugu yangu. Mungu Aendelee kutubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Heri ya christmas na mwaka mpya... nawapenda sana...rafiki zangu wa kimya kimya...
Ameen..rafiki mwema!Na kwako pia ndugu yangu. Mungu Aendelee kutubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
SafiHeri ya krimasi wadau wote wa likes
Wamepigwa tena aisee,,unataka uhamie Man City tena??Wamepigwa tena? Mwaka huu Aseno wameniangusha sana. Pengine kuna haja ya kuhamia Man C aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha ha ha haUkibaka nao ni kazi ngumu hatari [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 978204
Huyu yupo mbona,,leo kuna mitaa nimemuona anapuyanga hukoHuyu andaeitini kila akizinduliwa anapotea. Itabidi tuitishe mkutano wa dharura wazinduaji wawe wanapotezea. Wanatutesea mdogo wetu bure [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 978219
Na kwako pia mkuuHeri ya krimasi wadau wote wa likes